ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, September 2, 2011

MAONYESHO YA BIASHARA 8-8 MWANZA KUMALIZIKA TRH4 SEPT

Mwanadada Agatha akihudumia wateja wake ndani ya maonyesho ya 8-8 mkoani Mwanza yaliyoanza tarehe 26 mwezi August yakitazamiwa kumalizika tarehe 4 September 2011.

Nyuzi bin nyuzi.

nyuzi bin nyuzi pati two.

Banda la Barmedaz na mashamsham yake.

Mambo ya shoes hadi night.

Hapa napo panashine.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.