ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, August 6, 2011

HAYA USAFI NA AFYA ZETU JEH!

Mfanyakaizi wa moja ya makampuni ya uzibuaji maji taka Mwanza akiwa na vifaa vyake vya uzibuliaji begani na mikono chukuchuku.

Wakusanyaji taka katika dampo la furahisha jijini Mwanza.

Upungufu wa usafi wa mazingira ni sababu kuu ya maradhi duniani kote. Uboreshaji wa mazingira una manufaa kubwa kwa athari za afya ya wote katika kaya na katika jamii. Ila tujiulize jeh wakusanyaji taka wetu (wafanya usafi) pamoja na wenzao wote wa mlengo huo wa kufanikisha hatua za usafi jeh! wanavitendea kazi vinavyozilinda afya zao?

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.