Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na baadhi ya viongozi na waandishi wa Clouds Media Group alipotembelea ofisi za kampuni hiyo Mikocheni Dar es Salaam, leo. Wapili kushoto ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni hiyo, Ruge Mtahaba akimsikiliza kwa makini.
Nape akionyeshwa na Ruge Studio za Clouds Tv zilivyo za kisasa.
Cathbert Kajuna mtayarishaji wa jarida la Kitangoma linaloandaliwa na kampuni hiyo, na pia ni mmiliki wa blog ya KAJUNA (HABARI NA MATUKIO) akimkabidhi Nape nakala ya jarida hilo alipoingia katika ofisi za utayarishaji wa jarida hilo ambalo ni miongoni mwa majarida yanayosisimua sana hapa nchini. Katikati ni Ruge Mutahaba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Cloud Media Group, Joseph Kusaga (kushoto) akisalimiana na Nape wakati wa ziara hiyo. Katikati ni Ruge.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.