Mwananchi wa kawaida alikuwa akisikiliza yanayojiri mjengoni lakini mwisho wa siku baada ya tathimini zake aliamua kuongeza neno kwenye bango la mgenjo kisha akasepa zake!!
Mhhh tutaona mengi awamu hii nchi imekuwa kama familia ya kambale kila mmoja ana sharubu!!
KAMATI YARIDHISHWA NA MRADI WA TAZA
-
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefanya ziara ya kukagua
utekelezaji wa Mradi wa Umeme wa Tanzania na Zambia (TAZA) unaohusisha njia
ya...
KAMATI YARIDHISHWA NA MRADI WA TAZA
-
*Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga akielezea mafanikio ya
utekelezaji wa Mradi wa Umeme wa Tanzania na Zambia (TAZA) wakati wa ziara
ya Kamati ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.