Casto Mumbala wa Toto (11) akijaribu kumtoka Maxwel Anthony wa Tinsela. Katika kujiandaa na mikikimikiki ya ligi kuu soka Tanzania bara Wanakisha Mapanda wa jijini Mwanza Toto Africans katika mechi yake ya kirafiki jioni ya leo wameikandamiza bila ya huruma timu ya Tinsela toka wilayani magu bao 4-0.
Katika mchezo huo huo wa nguvu na wakuvutia uliosheheni kosakosa nyingi magoli ya Toto yalifungwa na Casto Mumbala, Emma swita (bao la pili na la tatu) na bao la nne lilitupiwa nyavuni nae Salum Kamana.
Magoli ya Tinsela yamefungwa na Amani kipanya pamoja naye Maxwel Anthony. Kesho jumamosi timu ya Toto itashuka dimbani katika mechi nyingine ya kirafiki dhidi ya Tanzania Soocer Academy ya jijini Mwanza.
TARI Yahimiza Matumizi ya Kilimo Hifadhi
-
Na Mwandishi Wetu ,Dodoma
TAASISI ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) imetoa wito kwa wadau wa
Kilimo kufanya shughuli za kilimo chenye tija ambacho kina...
Fahamu faida ya aloe vera kwa afya
-
Mmea wa aloe vera unajumuisha zaidi ya viungo 75 vinavyofanya kazi, ikiwa
ni pamoja na vimeng'enya, asidi ya amino, vitamini, na madini.
TARI Yahimiza Matumizi ya Kilimo Hifadhi
-
Na Mwandishi Wetu ,Dodoma
TAASISI ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) imetoa wito kwa wadau wa
Kilimo kufanya shughuli za kilimo chenye tija ambacho kinaz...
TARI Yahimiza Matumizi ya Kilimo Hifadhi
-
Na Mwandishi Wetu ,Dodoma
TAASISI ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) imetoa wito kwa wadau wa
Kilimo kufanya shughuli za kilimo chenye tija ambacho kinaz...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.