ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, August 15, 2011

JOSE CHAMELLEON ASILIMU, SASA ANAITWA GADDAFI

Akiwasili msikitini.

Akikaririshwa na Ustaadhi.

Akisilimu...

Akiswali.

Katikati ya sala.

Katika sala yu aonekana katikati ya waumini wa dini ya kiislamu.

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. swali,
    Gadafi(jose) alivutiwa na nini hasa hadi akabadili dini ama alikumbwa na mkasa upi?
    ama ndo kalala kaota anataka kuwa islam? hebu fukunyua kiundani, labda nasi twaweza shawishika.

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.