asante sana kaka kwakutuwekea picha za Arusha na vitongoji vyake maeneo hayo nilikuwa natembelea sana kipindi naishi TZ endelea kutuwekea picha zaidi za maeneo ya Arusha nimefurahi sana kuona hizi picha zimenikumbusha nyumbani sana ubarikiwe sana kaka gsengo
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
hoyaaa Sengo!
ReplyDeleteUnakumbushia mitaa ya home tu? Mbona ujapiga picha shule ya Ngarenaro na Levolosi? na Kanisa la Babu je?
Hata NHC nyuma ya kanisa la Babu pls, na Pale maeneo ya kwa washa magari idara ya maji
Shukrani kwa kutukumbushia AR tumeimiss sio mchezo!

ReplyDelete