ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 11, 2011

KAMA NI UCHUNGUZI BASI POLISI ANZIENI HAPA!

JESHI la polisi limeagizwa na waziri wa mambo ya ndani kuwafungulia jarada la Uchunguzi Mgambo wa Jiji la Mwanza waliojeruhi kwa Risasi waandamanaji wakati wa Vurugu za Machinga, hii ni sehemu tu ya picha inayoonyesha MGAMBO hao wa JIJI waliotumia Bunduki kupiga waandamanaji hao.

Kama ni uchunguzi basi Polisi anzieni hapa!

Picha na F.Katulanda

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.