Inter zepha Tanzania Limited ya jijini la Mwanza imetoa zawadi kwa mshindi wa shindano la essay writing competition lililofanyika katika shule ya sekondari pamba ya jijini mwanza. Shindalo hilo lililo jumuisha wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 baada ya kampuni kufanya Semina kuhusu ICT Aweaness iliyofanyika tar 15 july na kutoa zoezi la kuandika essay juu ya umuhimu wa tekinolojiya ya habari na mawasiliano katika elimu ambapo kampuni hiyoilitoa ahadi kutoa zawadi ya lap top kwa mshindi.Interzepha inatoa pongezi kwa Mayala P mapinda wa kidato ya 5 CBG kwa kuwa mshindi la shindalo hilo.pia tunatoa shukurani za dhat kwa wanafunzi wote walioshiriki.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment