Mshambuliaji wa timu ya soka ya Shule ya Sekondari Msongola, Hamisi Juma, akichanja mbuga kuelekea goli la wapinzani wao, wakati wa mchezo wa nusu fainali wa ligi ya soka ya vijana chini ya miaka 17 kwa shule za sekondari ya Airtel Rising Stars, uliofanyika uwanja wa Karume, Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Shule ya Sekondari Msongola, Ally Shaaban akiwatoka walinzi wa Alphonce Mathias (kulia) na Shukuru Mbaraka.
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Shule ya Sekondari Msongola, Amos Juma (kushoto), akikabiliana na beki wa Jitegemee, Alphonce Mathias wakati wa mchezo wa nusu fainali wa ligi ya soka ya vijana chini ya miaka 17 kwa shule za sekondari ya Airtel Rising Stars, uliofanyika uwanja wa Karume, Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Shule ya Sekondari Msongola, Amos Juma akizuiwa na kipa wa Jitegemee.
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.