Wakati Sayansi na Teknolojia vikizidi kusonga mbele kwa kasi ya ajabu mwanadamu nae akiendelea kujipinda katika engo yake ya 'Mauvumbuzi' sasa leo Mwanawane' hebu kosha macho kwa kukutana na Amazing Japanese Fake Pool ambalo limetengenezwa huko kwa wenzetu kama sehemu ya kivutio cha utalii.
0 comments:
Post a Comment