Edo Kumwembe
Uswazi..uswazi..nakumiss uswazi. Mtaa niliohama nasikia yule mama wa nyumba ya pili aliyeachwa na mumewe karudi tena mtaani anaishi na yule kijana dereva taksi wa nyumba ya tatu. mumewe naye anaishi na yule msichana aliyeachwa na huyo kijana dereva taksi mwaka mmoja uliopita. hahahahaha WAMEBADILISHANA. uswazi raha bana, sio huku uzunguni nilikohamia kila mtu anajifanya Beyonce au Chriss brown. ahhhh
Mary Misoji Ng'oboko
Heee! Jamani! Kadi zaidi ya 20 za kuombwa ufadhili.... Kadi 10 za kuomba ufadhili wa harusi, 8 ufadhili wa sendoff, kadi 6 za ufadhili wa kitchen party, kadi 5 za ufadhili wa ubatizo, kadi 4 za ufadhili wa kipaimara na kadi 2 za ufadhili wa graduation.... Hii bajeti yote itatoka wapi...? Hivi kuna haja ya kutenga ktk bajeti yako fedha zinazohusu sherehe hizi...?
Dixon Mpemba posted to MWANZA INDIGENOUS SOCIETY
WADAU KWA NINI 99% YA NYUMBA ZA MSAJILI ESPECIALLY KATIKA MIJI YOTE MIKUBWA WANAKAA WATANZANIA WENYE ASILI YA ASIA, KINACHONISHANGAZA NI KWAMBA UNAKUTA MTU ANA DUKA CHINI YAJENGO HILO ANALOISHI NA ANA MAGARI MAWILI YA KUTEMBELEA YANAPAKI HAPO CHINI 24 HRS!!. NAFIKIRI WAKATI BABA WA TAIFA ANAANZISHA N.H.C ALIKUSUDIA KUSAIDIA WANANCHI WENYE KIPATO CHA CHINI SIYO WAFANYA BIASHARA WAKUBWA KAMA HAO WADOSI???!!!!
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.