
Kufuatia maneno ya chini chini ya muda mrefu, binti huyo ambaye sasa ana miaka 23 alikwenda kwenye kituo kimoja cha Televisheni na kusema kuwa kwa hakika yeye ni mwanaume na si mwanamke ...ila anapenda kuwa katika muonekano wa kike. Kayo ni maarufu sana nchini Japani kwa kusimamia maonyesho yanayojulikana kama 'The Nico video game show.
Bi. Kayo anasema kuwa aliondoka kwenye mji wa kwao kipindi kidogo, na sio rahisi kwa watu waliokuwa wakimjua awali kujua kuwa ni mwanaume na akaanza kuishi kama mwanamke kwa kutumia majina mengine.
Alijiunga na shirika la wanamitindo na kujizolea umaarufu mkubwa kama mdada modeli wa kutumainiwa na katika kwa kipindi chote cha miaka kadhaa hakuna mtu katika shirika lake aliyewahi kumgutukia.


Source; webs za kijapani..
Tupe maoni yako
Duh! kaka G haka kadada/kaka kanaonekana karembo, nashindwa kuamini kama ni kavulana. Any way haya ndio ya dunia ya leo.
ReplyDeleteAhsante kwa habari zako huwa ni moto moto kwani huwezi zipata kwingineko, unajitahidi kaka.