Meneja Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ua Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (katikati) akikabidhi funguo za gari mpya aina Corolla kwa Yohana Athumani Ntile wa Igunga Tabora aliyeibuka mmoja wa washindi wa promosheni ya Jivunie iliyomalizika hivi karibuni. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni mmoja wa maofisa wa Kitengo cha Masoko cha Airtel, Alice Paulsen. Airtel kwa sasa inaendelea na promosheni yake kabambe ya Kwanjuka ambayo mteja hutuma neno kwanjuka kwenda namba 15656 ambapo mteja anaweza kushinda shs milioni moja kila siku, tano mwisho wa wiki na shs milioni 50 mwisho wa promosheni.
Mshindi wa promosheni ya Jivunie iliyokuwa ikiendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel mkazi wa Igunga Tabora, Yohana Athumani Ntile akipunga mikono mara baada ya kukabidhiwa gari lake jipya aina ya Corolla na Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Jackson Mmbando (kushoto) jijini Dar es Salaam jana. Airtel kwa sasa inaendelea na promosheni yake kabambe ya Kwanjuka ambayo mteja hutuma neno kwanjuka kwenda namba 15656 ambapo huweza kujishindia shs milioni moja kila siku, tano mwisho wa wiki na shs milioni 50 mwisho wa promosheni.
Mshindi wa promosheni ya Jivunie iliyokuwa ikiendeshwa na Airtel, mkazi wa Igunga Tabora, Yohana Athumani Ntile akijaribu gari lake baada ya kukabidhiwa na Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Jackson Mmbando (hayupo pichani) jijini Dar es Salaam jana. Airtel kwa sasa inaendelea na promosheni yake kabambe ya Kwanjuka ambayo mteja hutuma neno kwanjuka kwenda namba 15656 ambapo huweza kujishindia shs milioni moja kila siku, tano mwisho wa wiki na shs milioni 50 mwisho wa promosheni.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.