Ni katika sikukuu ya kusherehekea mavuno 'BULABO' tarehe 26juni hadi tarehe 3 kila Mwaka ndipo mwanamuziki nguli wa muziki wa ragga&dancehall Shaggy anasimikwa rasmi uchifu wa kabila la wasukuma, sherehe za kufana zafanyika katika eneo la kijiji cha makumbusho Bujola nje kidogo ya jiji la Mwanza.
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.