Albert $ Oliver 3june2006.
Ni picha za kumbukumbu ya Harusi yangu iliyofungwa siku kama ya leo katika kanisa la st. Joseph Anglican Arusha mjini.
Sahihi ya bi harusi mbele ya mchungaji Kajembe.
Sahihi ya bwana harusi.
Bi harusi akitoa ishara kutambulisha tukio la ukataji keki.
MATUNDA NDIYO HAYACuthbert Albert G.Sengo.
Cedrick Albert G.Sengo. (first born)
We...
Tupe maoni yako
Congrats
ReplyDeletehongereni, Mungu awazidishie neema
ReplyDeletemuendelee kudumisha ndoa yenu
bm
hongera mungu azidi kubariki na kulinda familia na ndoa yenu..siku zinakimbia kweli..soon itagonga 25..hahaa pamojah
ReplyDelete