
The Chelsea defender's marriage was once in crisis after he allegedly bedded team-mate Wayne Bridge's ex-girlfriend Vanessa Perroncel.

Nae mkali wa England anayekipiga Manchester united Wayne Rooney katika kipindi hiki cha mapumziko yeye amekitumia kwa kutinga saluni kuotesha nywele katika para linalomnyemelea la kichwa chake.

Katika zoezi hilo la teknolojia ya kisasa Rooney(25) alipandikizwa maelfu ya nywele katika kichwa chake kilichokuwa na upara wa asili uliomfanya aonekane sawa na mzee wa miaka 65, madaktari wakieleza kuwa nywele hizo zitakuwa kama nywele za kawaida.

ALIYEKOSEKANA;

Mkali Giggs yuko katika kikaango akikabiliwa na skendo ya aibu ya uhusiano wa kimapenzi na mke wa mdogo wake, mwanamama Rhodhi waliyefunuana nguo kwa kificho kwa kipindi cha miaka nane mpaka hivi majuzi kiliponuka.
Kwa hisani ya jarida la thesun
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.