ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, June 30, 2011

NAILETA KWENU FIESTA FOOTBALL


Ni katika maandalizi ya fiesta Musoma ndipo nakutana na mjasiliamali huyu anayetumia kipaji chake kujipatia riziki, aliyesafiri toka Rock City nyumbani anakoishini ya mji huu, binti huyu anauwezo kuutawala mpira wa miguu kupitia danadana kwa jinsi anavyotaka.

Tupe maoni yako

2 comments:

  1. asante sana sengo kwa kazi yako nzuri sana ubarikiwe jamani naomba tu huyu dada atafutiwe mfadhili wakukiendeleza kipaji chake hakika huyu dada anayokipaji sana laiti angepata mfadhili nadhani atakuwa mbali sana angekuwa huku nchi za wenzetu wangekiendeleza kipaji chake jamani sengo jitahidi umsidie pls

    ReplyDelete
  2. Control si haba; anafaa. Tumtafute tumpendekeze akajaribiwe kwenye maeneo mengine ya soka na kuendelezwa kisoka na ikiwezekana ajiunge na Timu ya Taifa ya Soka ya Wanawake.

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.