ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, June 13, 2011

MISS MWANZA 2011 NI UTATA MTUPU:>

Warembo ndo hawa part ONE.

Warembo ndiyo hawa part TWO.

Baadhi ya warembo watakaoshiriki shindano la kumsaka mrembo wa mkoa wa Mwanza, linalotarajiwa kufanyika tarehe 24/06/2011 katika ukumbi wa Hotel Mpya ya Gold Crest iliyopo katikati ya jiji la Mwanza.

Shindano hilo linalofanyika kila mwaka, linataraji kuvuta hisia za wapenzi wa Ulimbwende jijini Mwanza kutokana na matayarisho ya utofauti yaliyopangwa kujitokeza katika mchakato mzima ambapo burudani itapambwa na wanamuziki mahiri, Linah na 'Best Male Vocalist' Barnabas kutoa jiji Dar.

Tupe maoni yako

4 comments:

  1. hao mamiss mbona wabaya hivi mwaka huu, mmmh kutatoka mshindi kweli hapo? makubwa si sura si shepu hakuna hata mmoja wote wauza sato hahaaa

    ReplyDelete
  2. Kweli G,
    hao mamiss wa mwaka huu mbona wanatia kinyaa? wote wapaka mkorogo tu hakuna cha miss hapo sijaona. Duh! bora Flora wamrejeshe tena kwenye kuandaa hii miss Mwanza otherwise Mwanza hatuwezi toa Miss TZ tena. wapi Flora jamani!!!!!

    ReplyDelete
  3. WAKO POA BANA,,, @said

    ReplyDelete
  4. jamani kama siamini kabbisaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! hv kweli miss mwanza amepatikana kweli nimeamini kuchakachua kupo hahahahahahaaaaaaa uzuri wenyewe wa carolaiti wa mda mwangalieni ODEMBA HACHUJI hahahahaha

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.