Aliyekuwa Waziri wa mambo ya Nje wa Marekani enzi za Utawala wa George W. Bush, Bi Condolezza Rice alipokutana na Kanali Qadhafi mjini Tripoli. Siasa kitu kibaya aka uswazi twasemaaaa 'Siasa Mchezo Mchafu', pamoja na vicheko vyote na matabasamu yote jamaa wamembadilikia!!
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment