ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 23, 2011

WASHINDI TUZO ZA KILI WAIKOSHA VILIVYO MWANZA : MPOKI AWAUMIZA MBAVU MASHABIKI

Mataluma katika Stage.

Kiduku fulani hivi cha mataluma 'AAAaah!! mnameno' .. .

Namsamaha 'Umomo' baghoshah'!! Shabiki aliyechaguliwa na mwanadada Linah kuakti nae juu ya wimbo 'BORA NIKIMBIE'.

Sam wa Ukweli akikisanukisha kwa wapenzi wa mwanza ambao wakikuwa na kiu nae ile kinoma noma.

Kona hii kiduku kilichezekajeh!.

Shughuli hii iliwakutanisha watu wa mataifa mbalimbali wapenzi wa Bia ya Kilimanjaro..

Inakuwaje pale Mpoki anapo jichukulia kifaa kipya toka Zoo!!.

On one n 2 Dj Choka hapa akinakshi kazi za Joe Makini.

20 Percent akisababisha

Kutoka shoto Ncha Kali, Dj Choka, Shabiki' Dj Fetty na Doreen..

They some times they call me Dj (yeah iam!), hapa along side Dj Ommy jr.

Msanii wa Mwanza Okeleki, Jeetaman na Producer Q Nao walikuwepo kushuhudia show ya washindi wa kili Music awards.

Msanii mahiri mmiliki wa tuzo mbili ndani ya Kili Awards Barnabas along side Mshindi mwenzie Mpoki kama ratiba ilivyo ongea nao walikuwepo kusababishaz'.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.