Mkali wa kuchana aitwaye Allan Elirehema Tash akionyesha umahiri wake mbele ya mashabiki wake..
Majaji wa shindano la Serengeti Freestyle kulia ni Dix na Fid Q..
Miamba iliyoingia nane bora Arusha.
Kazi zaidi inakuja Mwanza this wikiendi ndani ya The Kiss Club Kirumba, ambapo wakali wa jiji la miamba na wa mikoa ya kanda ya ziwa watajumuika kuisaka 'Golden Chance' inayoletwa chini ya Udhamini wa Serengeti Premium Lager.
KWA HABARI ZAIDI TEMBELEA
www.kajunason.blogspot.com
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.