ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 23, 2011

MWANZA HOUSE OF TALENT WAIBUKA VINARA DANSI LA FIESTA MWANZA

Kundi la Mwanza House of Talent katika picha ya pamoja mara baada ya kutawazwa na majaji kuwa washindi wa shindano la Msimu wa Dhahabu na Dansi la Fiesta mkoa wa Mwanza shindano likifanyika jana jioni katika ukumbi wa disco Club Lips Isamilo Lodge jijini Mwanza. Shindano hili ni moja kati ya maandalizi ya Tamasha kubwa la FIESTA lililochini ya udhamini mkubwa wa kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL). Tamasha ambalo litaanza kutimua 'vumbi lake safi lisilochafusha' hivi karibuni.Halaaaa!!!

KWA PICHA ZAIDI FUNGUA
www.fullshangwe.blogspot.com

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.