Idadi kubwa ya watu ninaokutana nao kila mmoja wakizungumzia inshu nzima hawakosi kuitaja burudani hii iliyoporomoshwa na Ally Kiba, Banana Zorro na Diamond.
Utu Uzima Dawa- Ally Kiba, Said Mabela, Banana Zorro na Diamond
Dina Marious akimtangaza mshindi tuzo ya Rapa bora muziki wa Dansi.
Kwaheshima na kuwaombea waliofariki dunia kwenye ajali ya 5star morden taarab iliyotokea hivi karibuni Umma uliokuwemo ukumbini hapo ulisimama kwa dakika moja.
All star.
'Ze Kruu Inza Hausi' kutoka kushoto Dataz, Reuben Ndege, Babuu wa Kitaa na Sebastian Maganga.
Ni burudani iliyowalazimisha watoka mapema kubakia ukumbini hakika Waandaaji hawakukosea kuiweka burudani hii mwisho kabisaaaa, Unajua kwanini wanaitwa Mapacha Watatu?
Nje ya ukumbi kabla ya shughuli kutoka kushoto Mie na mkali wa bongo fleva nchini Chege na mratibu wa THT Hamza.
EARLY PAYOUT KUMWAGA MIHELA LEO
-
EARLY payout kwasasa ndio mchongo mpya ambao Meridianbet wamekuja nao
ambapo kupitia michezo mbalimbali ambayo itakwenda kuchezwa usiku wa leo
itakuwez...
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.