Kutokana na mabadiliko ya ujenzi katika fukwe za bahari ya hindi, baadhi ya mito kukauka na kufutika kabisa kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, michoro mipya ya barabara na ujenzi wake tofauti na miaka ya 1970 na 80, Jamaa mmoja niliyekaribu naye angani hapa anahoji kwambaa.."Kwanini wataalam wetu wa kupanga miji, wasilione hili na kuchora ramani mpya ya Jiji la Dar es Salaam?" A
0 comments:
Post a Comment