LEO USIKU....Na Zzzzzz! yangu ya mchana huu:-Barca will hold the ball possession, Arsenal will do the finishing--> 1 - 0. It has been written, Barca will not see the back of the net. Go Gunners!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Je, Chadema inajijenga au inajimega?
-
Kuna vita vya aina mbili ambavyo kwa sasa Chadema inapigana kwa wakati
mmoja. Wao kwa wao na wao dhidi ya utawala.
kaka ushauri nenda loliondo kapige kikombe cha jero ndio uje utoe utabiri....3-1..out
ReplyDeletejaribu kwenda kulala tena uote ndoto yenye manufaa kama ya babu wa loliondo.
ReplyDeletebm