Kuoga humo humo, kufua humo humo, kujisaidia humo humo, kunyweshea mifugo humo humo, kuoshea vyombo humo humo na hata maji kwa matumizi ya nyumbani, kisha maji hayo yatiririka kuelekea ziwa victoria.
Kimya cha siku hizi mbili ni kutokana na semina ya waandishi wa habari kuzuia uchafuzi wa mazingira wa ziwa Victoria inayoendelea wilayani magu mkoa wa Mwanza hususani eneo la dakio la bonde la mto Simiyu, huku neti inasumbua kweli, naahidi soon kukudondoshea yaliyomo.
Mwandishi wa habari Clara Matomo wa gazeti la habari leo, ambaye ni mmoja kati ya washiriki wa semina hiyo akichukuwa data toka kwa mwezeshaji wa semina hiyo mama Anna Mdamo
Brother Makongo (aliyesimama) akimwaga dit' kwa wanahabari wenzake... Nia ya semina hii ni kuisaidia jamii ifunguke macho kushiriki katika utunzaji wa mazingira kwa nia ya kuokoa raslimali zilizopo ndani ya ziwa.
Timiza Ndoto Zako na Meridianbet Leo
-
JUMAPILI ya mshindo na Meridianbet imefika ambapo leo hii una nafasi ya
kuibuka bingwa na mechi za kibabe kuanzia pale Uingereza mpaka kule Italia.
Su...
Katibu Mkuu Uchukuzi atembelea Banda la TCAA
-
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) inashiriki katika Maonesho ya 73
ya Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (ACI Africa) na imepata fursa
ya ...
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.