Viongozi wa Chadema na wabunge wa chama hicho wakiwa wanaandamana mkoani Shinyanga huku akiwa ametanguliwa na vijana wa chama hicho Redbriged.
Wanafunzi wa shule ya msingi Jomu wakiwa katika maandamamo ya Chama cha Demokaria na Maendeleo yaliofanyika mjini Shinyanga jana huku wakiwa wameshikana na kuonesha alama ya Vidole viwili.
Mwenyekiti wa Chadema taifa Freeman Mbowe akisisitiza kuendelea na maandamano kumjibu Rais Jakaya Kikwete.
Aliyekuwa Mgombea ubunge jimbo la Shinyanga Mjini Shilembi Magadula Shilembi ambaye kutotangazwa kakwe mshindi kulisababisha vulugu kubwa katika mji wa Shinyanga na kuchomwa moto kwa ofisi za Halmashauri.
Mabango mbalimbali ya waandamanaji wa mkoa wa Shinyanga yakionekana kuwa na ujumbe mbalimbali kwa rais Kikwete.
Msizuie wanafunzi kufanya Mitihani - Dkt. Mwigulu
-
**Asema Serikali itaendelea kuongeza fedha za mikopo ya elimu ya juu*
* WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka taasisi za elimu nchini
kutowazuia wa...
0 comments:
Post a Comment