Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa Filamu na wa Muziki wa kizazi kipya mara baada ya kupokea michango mbalimbali ya fedha na vitu vyenye thamani ya shilingi milioni 76 waliyoipata kutokana na tamasha walilolifanya mwishoni mwa wiki kuchangia waathirika wa mabomu wakatika eneo la Gongo la mboto jijini Dar es salaam. Kulia ni kaimu mkuu wa mkoa Mh. Sadik na kushoto ni Kamanda Kova, wa tatu kushoto ni mratibu mkuu wa tamasha hilo la soka kwa wasanii (GOLI) Bw. Ruge Mutahaba. Picha ndogo msanii wa muziki wa kizazi kipya Mwana FA kwa niaba ya wasanii wote akiwasilisha hundi hiyo kwa mh. Waziri mkuu.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.