Leo ni siku ya kuadhimisha miaka kaadha ya kuzaliwa kwake Reuben Ndege wa Clouds Media Group, Wengi wakimtambua kama Nchakali aka Mzeeeyaa!! anayesomeka mwanzo mwisho ndani ya program lenye fuul ditelZ za Mastaa, Muziki na wanamuziki duniani Soso Fresh, at the same time ndiye anayeng'arisha kipindi cha kijanja ndani ya clouds radio XXL katika segment ya 255.
Blogu hii inaomba mkono wa baraka toka kwa Mwenyezi Mungu kwa kila kilicho chema ukigusacho. HAPPY BIRTHDAY BROTHER.
Je, Upweke una athari gani kiafya?
-
Wataalamu wengi wanakubali kwamba upweke hutokea unapohisi ubora wa
mahusiano yako binafsi na watu wengine yako chini kuliko vile unavyotamani
yawe.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.