Nyakati hizi za usiku ndani ya hoteli hii huwa kuna burudani safi ya ngoma asili toka kikundi cha Pamoja Cultural Troupe, basi wageni hukusanyika mahala hapa na kushangweka.
Mahala hapa kama unatupia kinywaji kinashuka kilaiiiiini.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
Rais Museveni atangazwa mshindi wa uchaguzi Uganda
-
Tume ya uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Rais Yoweri Kaguta Museveni kama
mshindi wa uchaguzi uliofanyika Alhamisi wiki hii, akiwa na jumla ya kura
7,946...
0 comments:
Post a Comment