Katika kuhakikisha vivutio vya kitalii vinatumika kama inavyopaswa hapa nchini timu ya 7,7,3 ilipewa ziara kutembelea fukwe za Faulu Beach jijini Mwanza 88.1, hii ilikuwa siku ya jumamosi, siku moja kabla ya wadau hao kurejea jijini dar.
Juu kabisa katika bar ya Faulu Beach ni muundo meli hivi.
Kinywaji pande hizi kinashuka utaaaamu.. @Sebastian Maganga.
Kumbe nanihiii.. ni 'Frimanso'? Nashanga''!
That's wasap' @ PG Kweka wa Klabu kumi.
"Oyaa nina aleji na pichaaaa" @ P.Didi akiwa kazini.
Sitting on the top of the World na Zamaradi.
Matirio kamerani..
Faulu misosi time.
Safari ya kurejea home toka Faulu Beach.
Ndni ya Starmax Hotel Katika picha ya pamoja Leo tena, Kwaraha Zetu na mashabiki wake Mwanza.
Shukrani za Dhati kwa Starmax Hotel kwa kuwakarimu kwa dhati Wadau wa 7,7,3.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment