Hali ya leo mwanawane ndani ya mwanza... hakuna daladala iliyofanya kazi nimgomo kwa kwenda mbele - eti tupandishiwe nauli.
Hiki ni kituo kinachouza nafuu...Bei ya mafuta ya petrol imepanda toka shilingi 1,910 (bei mpya soma bango) vingine vinauza hadi shilingi 2,000.
Maroli ya mchanga-Usafiri mpya katikati ya jiji.
Abiria mkazi wa pasiansi wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, akilalama mbele ya kamera ya Clouds Tv.
Baadhi ya Makonda na Madereva wa Daladala wakiwa wamekusanyika kwa pamoja,kwamba wamegoma kabisa na hawataki kusikia chochote zaidi ya sereikali kutoa tamko ya hatma yao.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.