ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, January 28, 2011

FLORA SALON NA MPANGO MZIMA WA VALENTINE'S DAY.

LEO KAMERA YAKO IMETEMBELEA FLORA SALONLinapokuja suala la zawadi za kuendana na msimu, ndani ya Flora salon Mwanza una uhakika kupata kila kiungo kukamilisha hilo kwa yule umpendaye.

Utosini hadi unyayoni Utoke vipi', jibu lipo ndani ya shopu' hili linalopatikana barabara ya Uhuru karibu na Delux ...

Vinakshi na Mapambo hapa ndo mpango mzima.

Italy, Brazil, India, China ni vitu Genuine.

Some times kuhusu maubunifu ktk zawadi yakutoa, akili inakuwa kama imegota hivi. Unaambiwa uskonde' Flora Salon itakushauri nini cha kutwaa na nini chakufanza.

Siku ya Valentine ndiyo hiyooo YAJA- Flora salon wameahidi kudondosha bonge la Sup' kwa 'BEST COUPLE' (bibi na bwana watakao pendeza) katikati ya shughuli katika usiku wa wapendanao kwenye eneo la tukio ukumbi wa NYUMBANI HOTEL, Nini kitakacho fanyika siku hiyo? Tega sikio and ofcoz be there.

Wakiwa kama moja ya wadhamini wa USIKU WA WAPENDANAO MWANZA, Flora Salon tena na tena wanaronga kuwa:- "Kwa maharusi wanaotaraji kufunga pingu za maisha tarehe 14feb 2011 wanayofa yao maalum toka FLORA SALON na Complimentary yakuingia usiku wa Wapendanao NYUMBANI HOTEL."

MDAU.... Remember that: The best gifts are creative and targeted for the specific needs of the receiver. 'Tupia maujanja bhana'!
TAREHE 14 feb katika burudaniz hApA- Barnaba, hApA-Amini

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.