Mshike mshike katika lango la timu ya Burundi ambapo golikipa wake, Niyonkuru Vladimir aliweza kuizuia hatari hiyo. Tanzania iliibanjua timu ya Burundi 2-0.
Wachezaji wa Kilimanjaro Stars wakifuraki kwa pamoja mara baada ya kupatikana kwa bao la pili lililofungwa na Nurdin Bakari. Mabao hayo ndio yaliyoipelekea Kilimanjaro Stars kufuzu kuingia robo fainali ya mashindano Tusker Challenge Cup. Kikosi cha timu ya Taifa la Tanzania (TAIFA STARS). PICHA ZOTE KWA HISANI YA ISSA MICHUZI.
HABARI ZAIDI TEMBELEA www.issamichuzi.blogspot.com
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.