Mkutano wa kujadili Mpango wa miaka 5 wa Benki ya Dunia wa kusaidia Tanzania umekamilika na mkutano ulifanyika tarehe 13/12/2010, Hoteli ya Nyumbani jijini Mwanza, Washiriki wa mafunzo hayo walikuwa wakuu wa Seksheni,idara na vitengo toka Serikali kuu, Serikali za Mitaa na taasisi zisizo za Serikali.

Je! Juhudi za kuondoa umaskini zimefanikiwa?
Je! Miradi imelenga Vipaumbele sahihi?
Meneja wa uhusiano jiji la Mwanza mr. Joseph Mlinzi akichangia kwenye mkutano huo.
World Bank Group’s business plan in support of a country’s development strategy and poverty reduction goals. Provide a framework for areas of Bank support and modalities/approaches, based on country’s priorities, other partners’ support and Bank’s comparative advantages. Normally prepared on a four-year cycle.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.