Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Sweden na Norway katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam. Waliowasilisha hati zao ni Balozi Lennarth Hjelmaker wa Sweden na Balozi Bi.Ingunn Klepsvik wa Norway. Pichani Balozi Ingunn Klepsvik wa Norway akiwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete. Picha na Freddy Maro - Ikulu
SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KING LION
-
Prof.Mkumbo katikati akisikiliza maelekezo kutoka kwa Meneja wa King Lion
Arnold Lyimo.
Waziri Mkumbo akiwa kwenye picha ya pamoja na wawekezaji wa ...
SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KING LION
-
Prof.Mkumbo katikati akisikiliza maelekezo kutoka kwa Meneja wa King Lion
Arnold Lyimo.
Waziri Mkumbo akiwa kwenye picha ya pamoja na wawekezaji wa ...
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.