Mchezaji Timu ya Kenya akijitahidi kwa udi na uvumba kuwatoka mabeki wa Ethiopia lakini wapi, Kenya ikabamizwa goli 2-1 hadi kipyenga kinalia.
Wadau kulia Adam Mossi pamoja na mkurugenzi wa Zizzou Fashion, Othman Tippo wakifuatilia kwa makini kandanda safi iliyokuwa ikichezwa kati ya Kenya na Ethiopia. HABARI KAMILI TEMBELEA MICHUZI JR.
Arusha Yasimama Kwenye Maombi: Miaka 63 ya Uhuru
-
Viongozi wa dini ,mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda na wananchi
wakiendelea na maombi katika matembezi ya kuombea mkoa wa Arusha na
maathimisho ya mi...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.