ERNEST RICHARD WA BUGANDO WORRIOUS AKIPOKEA MSAADA WA JEZI TOKA KWA MAMA HASHEEM, KWA NIABA YA TIMU YAKE. Mama Hasheem Thabeet (Rukia Thabeet) leo amefanya ziara yake jijini Mwanza kwania ya kutoa msaada wa jezi kwa timu tatu za mpira wa kikapu jijini Mwanza nia na lengo ikiwa ni kuuendeleza mchezo huo nchini.
SHAMSA KAZOBA, MCHEZAJI MUWAKILISHI WA BUTIMBA DAY SEC SCHOOL AKIPOKEA MSAADA HUO, TIMU NYINGINE ILIYOPATA MSAADA HUO NI PAMBA SEC SCHOOL YA JIJINI MWANZA, AMBAPO KILA TIMU IMEPATA MOJA YA JEZI.
KAMISHNA WA WATOTO VIJANA NA MAENDELEO YA SHULE WA CHAMA CHA MPIRA WA KIKAPU MWANZA, BRAZA SOSHO KIZITO AKITOA SHUKURANI ZAKE KWA MAMA.
Msaada huo toka kwa Hasheem Thabeet anayekiputa huko marekani kwenye ligi ya NBA umekuja kwa nia ya kuutukuza mchezo huo, kuinua uthaminike hatimaye kuwa ajira rasmi kama ilivyo kwa nchi ya Marekani.
Mama Thabeet pia alipata fursa ya kukabidhi tuzo kwa mlezi na mdhamini mkuu wa mpira wa kikapu Mansoor DOGO kwa ushiriki wake katika kuchangia maendeleo ya mchezo huo MWANZA. MANSOOR AKA DOGO AKIRINGIA TUZO YAKE.
PICHA YA PAMOJA KWA WADAU BAADA YA MAKABIDHIANO HAYO YALIYOFANYIKA NYUMBANI HOTEL JIJINI MWANZA (MOJA KATI YA WADHAMINI).
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.