SAFARI ZA BRAZA-MIRINDIMO HUKO YOKOHAMA, FUKUYAMA NA HIROSHIMA ZIMEACHA TAFAKUR' NA TAMANI NYINGI KWANGU PINDI TU NILIPOZITIA MACHONI MARA BAADA YA KUTUMIWA PICHA NA MDAU (MIRINDIMO) ALIYEKO ENEO LA TUKIO.... KWA UCHACHE wacha tuone pamoja kwa njia ya picha... Nimependa mtandao huu wa barabara sambamba na reli....laiti tungeuiga katika miji yetu hapa nyumbani ingekuwa swafi sana... Mnaonaje tusubiri au?
BALOZI NCHIMBI MSIBANI KWA MZEE MONGELLA
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi, akisaini kitabu cha maombolezo na kumpatia pole, Mama Gertrude
Ibengwe Mongel...
TASAC yatoa elimu ya Utunzaji wa Mazingira, Dodoma
-
*Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC, leo tarehe 02 Juni, 2025
limetoa elimu ya utunzaji wa mazingira majini kwa wadau waliotembelea banda
lao jiji...
Tukiwa na uongozi bora,tutaweza kufikia hapo,Bado ni ndoto kwa Tanzania.
ReplyDeleteYani Bongo au TZ au tushindwi kuwa kama hivi ila sema ufisai umezidi sana, haya yetu mecho tu.
ReplyDelete