MTANGAZAJI WA REDIO MIRAYA ILIYOPO SUDAN KUSINI Bi. Lubna Lasu akiwa mzigoni...safii take 5 DADA AKEE!
WANANCHI WA KABILA LA DALINGA LILILOPO SUDAN KUSINI WAKIGOMBANIA CHAKULA KILICHOPELEKWA HAPO NA UMOJA WA MATAIFA KUPITIA MPANGO WAKE WA WFP. KIDOLE NA MACHO TUSIUMIZANE...
Mungu awasaidie hawa ndugu zetu! Viongozi wa africa nasi tumezidi haya hatuyaoni?? Hapo rais anatembea kwa shangingi na ndege na kila siku vita he! Kulogwa au?
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
Mungu awasaidie hawa ndugu zetu! Viongozi wa africa nasi tumezidi haya hatuyaoni?? Hapo rais anatembea kwa shangingi na ndege na kila siku vita he! Kulogwa au?
ReplyDelete