LEO NI SIKU YA KUZALIWA KWA bwashee' EDGAR J.MAPANDE WA ZANTEL DAR, BLOG HII INAKUTAKIA KILA LA KHERI KATIKA MAISHA, MAZINGIRA NA MAENDELEO. MUNGU AKUONGEZEE MARAFIKI, AKUEPUSHE NA MAADUI. UMEZALIWA SIKU MOJA NA RAIS WA SASA WA IRAN (WA 6) BWANA MAHAMOUD AHMADINEJAD MZAWA WA TAREHE 28.OCT.1956, PAMOJA NAE MTANGAZAJI WA RADIO FREE AFRIKA PRINCE BAINA KAMUKULU. HAIJAISHIA HAPO VILE VILE NI SIKU MOJA NA 'MZEE WA KUKU' BILL GATES. (picha ndogo kulia)
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.