'RAFIKI TUPEANE MKONO WA IDDI' RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AKISALIMIANA NA BAADHI YA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU MUDA MFUPI BAADA YA KUMALIZIKA KWA SWALLA YA IDDI ILIYOSWALIWA KATIKA MSIKITI MKUU WA RIYADHI MJINI TANGA KITAIFA LEO ASUBUHI.
MDAU UMEIONA OFA HII KABAMBE KUTOKA VODACOM?
IKIWA LEO NI SIKUKUU YA EID EL FITRI, SOKO LA MWALONI ASUBUHI YA LEO LIMEKUWA KIMYA TOFAUTI NA ILIVYOZOELEKA, NAJUA WAJUA.
BARABARA ZOTE JIJINI MWANZA ASUBUHI YA LEO NIMEZISHUHUDIA NI NJIA MOJA TU KWENDA KUHUDHURIA SALA YA EID. KILA LA KHERI KWA NDUGU ZANGU WAUNGWANA.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.