ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, September 22, 2010

PUMZIKA KWA AMANI BIBI YETU JOSEPHINA LEMY ZAKAYO MANGA.

NI KAMA MSHUMAA UWAKAO KATIKA UPEPO MKALI. ILIKUWA TRH 19.9.2010 SAA NANE MCHANA BIBI YANGU MZAA BABA ALIAGADUNIA.

DADA ZAKE MAREHEMU BIBI JOSEPHINA AMBAO NI WADOGO ZAKE WAKIAGA MWILI WA MAREHEMU KWA PAMOJA.

MOJA KATI YA KITUKUU WA MAREHEMU.

SHANGAZI YANGU SALOME SIMBIRA AKIUAGA MWILI WA MAMA YAKE.

KWAYA YA AIC NKOME GEITA ILIUFARIJI UMATI VYA KUTOSHA SIKU YA MAZISHI HATA KATIKA MKESHA WA MATANGA.

MWILI WA MAREHEMU UKISHUSHWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE.

"ULIUMBWA KWA MAVUMBI NA MAVUMBINI UTARUDI" NI KAULI YA SIMANZI SANA.

WAJUKUU (NAMI NIKIWA MMOJA WAO) TUKIWEKA MASHADA YA MAUA.

BIBI JOSEPHINA ALIFARIKI 19.SEPT.2010 KTK HOSPITALI YA WILAYA YA GEITA MWANZA NA KUZIKWA NYUMBANI KWAKE NKOME GEITA TAREHE 21.SEPT.2010. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

Tupe maoni yako

2 comments:

  1. Uncleeeee! pole sana na msiba wa mkeo(Bibi), tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu kumbuka tu 'tushamba la Bwana anavuna kila anapotaka yeye', na pia alituambia tutarudia mavumbi na roho itaacha mwili hivyo tuendelee kuishi tukimtumaini yeye aliye juu naamini kwa matendo mema ipo siku atutakutanisha na wapendwa wetu waliotutangulia.

    Sily-a.k.a Uncleeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  2. pole mpezi


    revina wa mwanza

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.