Tupe maoni yako
Mambo 3 yanayoweza kukuepusha mabishano yanayoweza kugeuka kuwa ugomvi
-
Kutokubaliana ni sehemu isiyoweza kuepukika ya kuwa mwanadamu, kwani
binadamu sote hatuko sawa, lakini je unawezaje kujiepusha na mapigano ya
aina hii?
16 minutes ago
Uncleeeee! pole sana na msiba wa mkeo(Bibi), tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu kumbuka tu 'tushamba la Bwana anavuna kila anapotaka yeye', na pia alituambia tutarudia mavumbi na roho itaacha mwili hivyo tuendelee kuishi tukimtumaini yeye aliye juu naamini kwa matendo mema ipo siku atutakutanisha na wapendwa wetu waliotutangulia.
ReplyDeleteSily-a.k.a Uncleeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
pole mpezi
ReplyDeleterevina wa mwanza