SILAHA MBALIMBALI ZILIZOKAMATWA KANDA YA ZIWA ZIKITUMIKA KATIKA MATUKIO MBALIMBALI YA UHALIFU NCHINI NA SILAHA ZILE ZILIZO SALIMISHWA, LEO ZITATEKETEZWA JIJINI HAPA. KWA KARIBU ZAIDI.
TUKIO HILO LINATARAJI KUFANYIKA ASUBUHI HII MAJIRA YA SAA 5 KAMILI UWANJA WA NYAMAGANA JIJINI MWANZA. TAYARI SILAHA HIZO ZIMEPANGWA KATIKA MPANGILIO THABITI KWA AJILI YA KUTEKETEZWA NA MOTO (KAMA PICHA INAVYOONEKANA).
SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KING LION
-
Prof.Mkumbo katikati akisikiliza maelekezo kutoka kwa Meneja wa King Lion
Arnold Lyimo.
Waziri Mkumbo akiwa kwenye picha ya pamoja na wawekezaji wa ...
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.