KAMA KAWA, KAMA DAWA NA PILIKA PILIKA PEMBEZONI MWA ZIWA VICTORIA ENEO LA KAMANGA FERRY. MAMBO MKAMBWAMBWA!
NDANI YA MTAA WA BALEWA, HIYO BARABARA NDOGO NI KUELEKEA KWA MKUU WA MKOA MWANZA.
ZAMANI MTAA WA NELA HAKUKUWA NA GHOROFA HATA MOJA LA DAWA LAKINI SASA MHH! MOJA KATI YA MITAA AMBAYO ITATISHA BAADAE NI MTAA HUU! KWANI KILA MJENGO MPYA NI GHOROFA, TENA WA KISASA, BARABARA ZOTE ZA NDANI LAMI, AU KWASABABU YA KAMPENI ZA JACK FISH!? TEHE!.
KAMA WAARABU WA PEMBA VILE WAJUANAVYO KWA VILEMBA! HATA WAFANYA BIASHARA VIVYO HIVYO. WASHUSHAJI NAO WANA WATU WAO, AMBAO HUWARUSHIA MATUNDA MANONO (FESTI KLASI), KAMA U MGENI ITAKULA KWAKO AISEE! BIASHARA YA MATUNDA SOKONI KIRUMBA LEO ASUBUHI.
Taarifa kwa Umma Kuhusu Ongezeko la Bei za Mafuta.
-
Dar es Salaam, Tanzania
Tunatambua ongezeko kubwa la hivi karibuni la bei za mafuta ambalo
limeongezeka kwa asilimia 33. Kama jukwaa linalolenga kusawaz...
Serikali Yaongeza Muda wa Tume ya Uchunguzi
-
*Na Mwandishi Wetu*
*DODOMA, Aprili 4, 2026 — Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
imetangaza kuongeza muda wa kukamilisha kazi kwa Tume ya Kuchun...
hahaa si mchezo mwanza, mtaa wangu wa zamani huo lol
ReplyDelete