AWALI NGOMA YA FIESTA 2010 ILIPANGWA KUMALIZIKA MWANZA TAREHE 7 AUGUST 2010 PALE YATCH CLUB, LAKINI KWA MUJIBU WA KIKAO CHA KAMATI YA FIESTA KILICHOKETI JANA USIKU NAKUMALIZIKA MIDA IKIWA IMEENDA SANA. HATIMAYE PEPA LIMEPENYEZWA NA RATIBA KUSOMEKA KUWA WAKAZI WA MWANZA KUHUSIKA NA BURUDANI ZA FIESTA JIPANGUSE! TAREHE 31 JULY (YATCH CLUB) NA TAREHE 1 AUGUST CCM KIRUMBA. MKAZI WA KANDA YA ZIWA KAA TAYARI KWA BURUDIKO HILO LA ROHO, MWILI NA NAFSI HUKU TUKIHAMASISHANA KATIKA SUALA ZIMA LA UWAJIBIKAJI KUIJENGA NCHI.
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.