YULE PRODUCER MAHIRI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA HAPA BONGO ALIYEGONGA PINI KAMA 'WE NDO MCHIZI WANGU' BY N2N NA NYINGINE KIBAO Q.THE DON, ANATARAJI KUFUNGA NDOA TAKATIFU KATIKA KANISA LA ANGLICAN NYAMANORO JIJINI MWANZA. KWA MUJIBU WA TAARIFA ZA KIKAO CHA MWISHO CHA HARUSI YAKE KILICHOFANYIKA JANA PK HOTEL JIJINI HAPA. NDOA HIYO ITAFUNGWA JUMAPILI HII TAREHE 4 JULY 2010. TAYARI NDOA HIYO IMETANGAZWA KANISANI IKIWA NI MARA YA TATU. KILA LA KHERI BROOO.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.