Tupe maoni yako
Kwa nini watu wanaovaa nguo chafu wanaongezeka duniani?
-
Watu 9 kati ya 10 waliofuatiliwa kwenye shindano, walifua suruali zao kwa
mara ya kwanza baada ya kuvaa mara 150 au 200
17 minutes ago
asante sana kaka gsengo kwakutujali sisi wanablog wako asante japo nimeona kidogo sehemu ya arusha umefanya vizuri kuonyesha picha ya arusha lakini pale sema barabara mbovu hujaandika hapo ni wapi naomba safari nyingine ukituwekea picha utueleze ni sehemu gani maana wengine tumetoka nyumbani sikunyingi tumesha sahau maeneo kutoka mabadiliko ya mji na ujenzi asante kwa picha endelea kutuletea zaidi
ReplyDelete